Luke 5:15-16

15 aLakini habari zake Yesu zikazidi sana kuenea kotekote kuliko wakati mwingine wowote. Makutano makubwa ya watu yalikuwa yakikusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. 16 bLakini mara kwa mara Yesu alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba.

Copyright information for SwhNEN